Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upunguaji wa oil unatokana na uchakavu wa engine mara nyingi gari ambayo ina milage kubwa lazima Ile oilInapungua ila uwezi ona inapovuja wala kujua tatizo ni kwa urahisi
Imenisunbua sana noah yangu ikawa inakula oil balaa, nikaipiga beiHilo tatizo liko kwa Noah SR 4O 3s engine
Na IAZ engine
Hata kama itoke japani leo lazima ipungue oil
Tena isinichoshe kabisa🤣🤣🤣ikale oil mbale kwa mbale
Na kama ni kweli basi Subaru itakuwa ni kampuni ya kizembe sana,engine oil haitakiwi kupungua bali inachoka au kuchakaa...Hii habar c kwel
kweli na wewe umenunua Subaru Hongera sana basi hapa JF wote mna magari, mpaka Noah zimo service unaiacha mpaka kilomita 20000 (elfu ishirini)wadau wanasema subaru impreza ikifika tu 120,000 kuendelea inaaza kula oil kila baada ya kutembea km 20000 or 3000 na hii inanzia gari za 2010 kwenda chini