Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio lazima ufe ndio uwe tajiri hapa mjini
Inategemea unatoka familia gani, kuna jamaa anaitwa francois nguema ni makamu wa rais wa nchi fulani hapa Africa, baba yake ni dikteta na rais tajiri sana so msela hajui shida na anamagari kuliko wacheza mpira wa ulaya
Matajiri ni risk takers.Kuna comment moja aliitoa mdau wa humu jf, alisema huwez kuwa tajiri bila kufilisika, akimaanisha kuwa kwenye harakati za utaftaji, huwez fikia mafanikio ya kifedha, bila kupitia kipindi cha kuishiwa pesa..
Kuna ukwel katika hili
Maumivu utakayopata unapofilisika ndiyo yatakayo kufunza nidhamu ya pesaKuna comment moja aliitoa mdau wa humu jf, alisema huwez kuwa tajiri bila kufilisika, akimaanisha kuwa kwenye harakati za utaftaji, huwez fikia mafanikio ya kifedha, bila kupitia kipindi cha kuishiwa pesa..
Kuna ukwel katika hili