hyo c inategemeana na shule yenyewe au
Kwa government result slip haitakiwi maana majina yalishaenda shule we ukifika unaambiwa utaje jina na shule uliyotoka then wana confirm na lazima uende na birth certificate kwa matumizi yao ikiwepo kuandaa leaving certificate basi...
Result slip zinatumiwa na shule za private maana hawana proof yoyote ya ufaulu wako. Ila kwa government walishachagua tayar na wizara walio faulu hawana haja ya kuthibitisha tena
Kwani unaonga mzigo kwani kwenda na copy ya result slip?