Hivi ni kweli iPhone, Infinix na Tecno ni simu za wanawake?

Siku ukinionyesha wapi kwenye hizo simu, manufacture ameaweka label “for woman only” ndipo ntakuchukulia serious
kuna wangese wakikuta wanaume tunatumia iphone/infinix wanasema acha kutumia simu za wadada.
 
Sizitaki mbichi hizi, waswahili wabaposhindwa ku afford such devices, basi wanatafutia jina baya au msemo mbaya ili washushe dhamani
hii ni commercial inferiority complex yan nisitumie iPhone/infinix eti kisa wanasema ni ya mama.

Na kuna wale " Pixel ndio simu zingine weka kwenye dustbin"
 
Haha Mchina kateka soko la simu Africa mpaka la mayai kariakoo.
mchina kashindikana

kwenye bwawa la umeme rufiji mchina alinyimwa tenda na magufuli akapewa mwarabu

ila mwarabu huyo huyo kazi ngumu za bwawa haziwezi hivyo kamuuzia mchina kama subcontractor

mwisho wa siku mchina kalamba zaidi ya trilioni 4 kwenye bwawa alilonyimwa tenda.

mwarabu kafanya uwinga tu ila kazi za bwawa la rufiji zimefanywa na kampuni mbili za mchina Sinohydro na Dongfeng electric
 
Unakuta mtaa mzima watu wana simu zinafanana brand, huo si ni ujinga? Inakuwa kama yunifomu vile, ushamba mtupu
 
hata SGR ni yeye na VETA zikianza kuwa dili watamleta afundishe.
 
Yaan ameuliz as if Simu zitasehem ya kike ya kukojolea auz zina vaa Ped
Hahaha kwamba ndio maana ukapata ukakasi wa jinsia, kuna kasumba ipo ya stereotype kwamba kitu fulani ni cha kikekike mf. hizo iphone na infinix.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…