Hivi ni kweli jambo hili? Onyo:PG 18 pls

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,501
Nimekutana na ripoti ya utafiti mmoja inaonyesha kuwa wanawake wengi hawapendi wanaume wanaonyoa nywele zao za chini zote (katika pubic area) kwa madai kuwa wanaume wanaonyoa nywele hizo zote ni mashoga. Ripoti hiyo inaeleza kuwa wanawake wengi wanaamini kuwa ni wao pekee (wanawake) au wanaume mashoga ndio wanaopaswa kuhakikisha pubic area iko safi bila chembe ya kinyweleo lakini kwa mwanaume inabidi kuwepo na vinyweleo na hapatakiwi kukwanguliwa kuondoa nywele zote.

Nimeshangazwa sana na utafiti huu na ningependa kujua mawazo yenu mnakubaliana na matokeo ya utafiti huu au la?
 
Mwishowe watatasema wanawake wengi wanapenda wakutane na mwanaume mwenye rasta huko maeneo!
 
Nimekutana na ripoti ya utafiti mmoja inaonyesha kuwa wanawake wengi hawapendi wanaume wanaonyoa nywele zao za chini zote (katika pubic area) kwa madai kuwa wanaume wanaonyoa nywele hizo zote ni mashoga.

umekutana nayo wapi? kuna siku hata sisi tunaonyoa ndevu mtatuambia ni .................
 
mmmh, sijui ni asilimia ngapi wanaoamini hivyo.

Nywele ni big turn off.

Mambo ya kupotelea amazon forest???
Mwishowe ukutane na mbung'o bure

@Kongosho hata mie naamini hivyo, lakini huu utafiti umenishangaza sana na hasa kuunganisha wanaume wanaonyoa na ushoga
 
umekutana nayo wapi? kuna siku hata sisi tunaonyoa ndevu mtatuambia ni .................

@Ukwaju Nadhani wajua ripoti ya utafiti ipo katika maandiko mkuu. lakini kuhusu ndevu, kuna mwanamke aliwahi kuniambia anapenda niwe na ndevu muda wote sababu nikimgsa nazo zinamsisimua, nikinyoa anapoteza ule msisimko kama anaoupata nikiwa na ndevu. Toa neno na hapa
 
Kuna rafiki yangu anasemaga siwezi kuhangaika na mwenye shamba yupo. Uzuri hiyo sekta nakarabati mwenyewe, siku nikitaka kiduku ama kipara ngoto, ama rasta kazi ni kwangu. Hana mamlaka na hilo eneo.

Mambo ya kutumia toothpick afterwards Kongosho, inahuuuu?
 
Last edited by a moderator:
hao wanawake ni wa dunia hii?

minywele huko chini mwanaume ya nini?

mtu akila koni aanze kusogeza minywele pembeni....

na huwezi kumung'unya gololi kisa kuna minywele?

loh i hate minywele..... kule raha yake kuwe safi banaaaa tena mwanaume uwe msafi uoge na kujikausha vizuri kumpa fursa mwenzio kuzama huko akiibuka yupo poa, na sio kuibuka na minywele mdomoni...
 

Nimeipenda hii :israel::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 

@King'asti kwa mipasho hujachacha lol
 
ha ha ha ha, dred za kufa mtu
unakuta kabana moja.

Afu kibanio chenyewe ukute ndo kimetengenezwa kama kimtindo mtindo haki ya Mungu mtu atatoka nduki maana atadhani jamaa anazo 2 kumbe moja ni kibanio cha design yake!
 

hahahaa, umenikumbusha kipara ngoto songa ugali tuleeee!
 
Last edited by a moderator:
Afu kibanio chenyewe ukute ndo kimetengenezwa kama kimtindo mtindo haki ya Mungu mtu atatoka nduki maana atadhani jamaa anazo 2 kumbe moja ni kibanio cha design yake!

Hahahahahahahahahaha My ribs plssssssss Babaubaya
 
Naogopa kuchangia eti below 18 havruhusiwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…