Hivi ni kweli jambo hili? Onyo:PG 18 pls


kwa nini sasa usiende kuulizia kwa huyo mwanamke na kuhusu hili la nywele?
 
Naogopa kuchangia eti below 18 haturuhusiwi ijapokuwa tuna nywele hayo maeneo!
 
kwa nini sasa usiende kuulizia kwa huyo mwanamke na kuhusu hili la nywele?

Kizuri kula na nduguyo. Nimeleta hapa ili na wewe uliekuwa hujui kama kuna tafiti kama hizi zinafanyika uweze kujua, mie sio mchoyo wa elimu mpya.
 
Naogopa kuchangia eti below 18 haturuhusiwi ijapokuwa tuna nywele hayo maeneo!

na kwanza unafanya nini humu? umemaliza homework yako ya Civics?? nikihesabu mara tatu nikute umetoka humu fasta
 
mmmh, sijui ni asilimia ngapi wanaoamini hivyo.

Nywele ni big turn off.

Mambo ya kupotelea amazon forest???
Mwishowe ukutane na mbung'o bure

i also disagree with that, siamini vitu ivyo.......
 
Subiri sensa ndo itakuhusu!
huku usije patwa na matege ya macho bure!!
 

thats the responsible woman talking.................
 
Naona huu ni ukumbi wa wanawake tu,ngoja nisepe,ila BADILI TABIA umeharibu asubuhi yangu. . . Lol!
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana mimi sizigusi mwaka mzima
 

Hii midomo ya baadhi ya akina dada wa siku hizi kumbe ina majukumu makubwa hivi, ...!

Sorry, napita tu ....
 
Mkuu anataka kuidhinisha watu wafuge Mwabepande etii kwa kisingizio cha kusema ni mashoga ndo huwa na vipara..
Siungi mkono hoja.
 
JF kuna mambo acha tu! YANI HAPA SINA MBAVU!guys u have made my asubuhi!
 
najiuliza kama BADILI TABIA angeweza kusema alichoandika hadharani.
 
Last edited by a moderator:

Kama yuko Dar na hili joto! Labda awe na mradi wa kufuga chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…