Hivi ni kweli jambo hili? Onyo:PG 18 pls

mnhhhhhhhhhh
 
mmmh, sijui ni asilimia ngapi wanaoamini hivyo.

Nywele ni big turn off.

Mambo ya kupotelea amazon forest???
Mwishowe ukutane na mbung'o bure

Ha ha ha haaaaaaaaaaa! Kongosho huishi kuniacha hoi! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Kipara naweza hisi nabaka kavulana! LOL
Napenda trimmed pubic hair.
 
Kipara naweza hisi nabaka kavulana! LOL
Napenda trimmed pubic hair.

@Kaunga, nashukuru sana kwa jibu hilo maana linaonyesha huenda utafiti huu una chembechembe nyingi za ukweli
 
Na kwa wale wanawake wenye ndevu una jisikiaje aki kubusu au wale wenye mwabwepande vifuani hizo tafiti hazija fanyia kazi haya maeneo???
 
Hizo nywele gani kwa kiswahili?
 
@Kaunga, nashukuru sana kwa jibu hilo maana linaonyesha huenda utafiti huu una chembechembe nyingi za ukweli

Again it is just Kaunga, huenda wadada wengi hawapendi kama inavyoonekana katika takwimu za wadada waliochangia Uzi huu!
 
Again it is just Kaunga, huenda wadada wengi hawapendi kama inavyoonekana katika takwimu za wadada waliochangia Uzi huu!

I agree, but it seems kwa context ya TZ wengi hawapendi, na kwa context ya huko walikofanyia research wengi wanapenda. But jibu lako limeonyesha japo wapo wachache ambao wanapenda viwepo japo kidogo sio kama mtoto mchanga hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…