tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Huyu jamaa kama vile namuona akiwa kila mada ni mchangiaji wa kwanza kwa kwa Ku comment akiwa wa pili toka kwa mtoa mada.
Lakini kwasasa haonekani tena kwa kutoweka ghafla!
Hivi amebadili ID au tu ameacha Ku comment?
Last time to see his/her comment ni muda Sasa mpaka inatupa mashaka uwepo wake!
Kama Kuna mwenye taarifa zake plse ingawaje najua Kuna watu watakuja kuwa ni TISS hao!!
Jamaa Nakumbuka sana comments zake ni fupi na zisizo na maneno ya kuudhi kiukweli.
I real miss you Joeverest? Please comeback!! Tulikuzoea!!