hivi ni kweli kua uhaminifu ktk mapenzi ndiyo kuimarisha mapenzi? na bila na tufanye nini?

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
4,368
Reaction score
6,661
jamani uhaminif umepungua kwa kiasi kikubwa miongoni mwa wapenz ,sasa hatua zinazofaa zichukuliwe haraka kunusuru vizazi vjavyo,kwani naisi watu wataanza kusaka wachumba pindi tu anapozaliwa ata huwezo wa kuongea hajapata kwa kweli kama ni utandawazi basi ili ni kiboko!
 

Uhaminif - Uaminifu
Vjavyo - Vijavyo
Naisi - Nahisi
Huwezo - Uwezo
Ili - Hili
Ata - Hata
 
Ni taarifa au tunapaswa kuchangia??
Nimetoka bila bila
 
waitu, mahua yanangaa?
Utahua kwa kutuchekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…