Hivi ni kweli kuhusu maswala haya kwenye nyota?

Hivi ni kweli kuhusu maswala haya kwenye nyota?

Tsomi paulo

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
23
Reaction score
5
Nina imani mpo salama wakuu wote wa hili jukwaa.niende direct kwa kile kilinileta hapa.nina girlfrnd wangu kwa takribana miezi 8 hivi.Tulipokuwa chuo sikugudua ili bt venye tuko home kwa likizo ndo nashang'aa.

Swali 1. kuna watu wana nyota ya kupendwa na kila mtu? hii ni kwasababu uwa nampigia cmu na mara nyingi uwa anaongea na m2 mwingine. kuuliza ananiambia kuna kijana alikuwa anamtongoza.

Swali la 2. Hivi natumia nyota yake? reason being that nikikosana na yeye mambo yangu hajaendi poa. mimi narun shop kwa sasa. Nikikosana kuamkuana naye hiyo cku balaa tupu na mikosi but nikiongea naye kila kitu poa. Nimedhibitisha hili leo kwa sababu tulikuwa tumekosana kidogo na tukashinda a whole day bila kuongea.

Nuksi tupu iyo siku but nilipomuamkua leo asubuhi mambo yangu yakawa sawa.nilikuwa na simu nauza.allover sudden mteja akapatikana kimiujiza na cmu ikapata hela.ivi ni kweli nasafiria nyota yake? sijawahi fanya tambiko lolote maishani but hii imenichanganya.
 
mi sijui man....hahahah sijui hayo mambo..ila ukiniuliza ntakwambia badili mentality tu...hakuna cha kusafiria nyota wala nini..
 
no wewe upo katika fungu la utawala wa nyota ya ZUHURA inakupasa ukiamka umpigie au uongee na mwanamke yeyote yule ni vema akiwa mpenzi wako,lakini sio lazima huyo ulomtaja hapo.....na vizur uza vitu vya kike au vinavohusu music au vinavopendwa na wanawake utatusua maisha
 
Mmmmhhhh...ki vipi jaman hayo yanawezekanaje?
 
no wewe upo katika fungu la utawala wa nyota ya ZUHURA inakupasa ukiamka umpigie au uongee na mwanamke yeyote yule ni vema akiwa mpenzi wako,lakini sio lazima huyo ulomtaja hapo.....na vizur uza vitu vya kike au vinavohusu music au vinavopendwa na wanawake utatusua maisha
asante mkuu kwa msaada uo bt unaeza explain kuhusu nyota ya zuhura? Alafu c naona kama nitakuwa slave wa wanawake azin nawategemea sana
 
Back
Top Bottom