wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kumekua na maneno/minong'ono ya watu kuwa kwa mfano una kiwanja au shamba lako unakoishi alafu haya makampuni ya mitandao ya cm ikataka kuweka mnara kwenye eneo lako karibu na nyumba ni hatari kwa afya eti kwa sababu kwenye mnara kuna mionzi mikali sana ya mawasiliano inaadhiri baadhi ya seli hali ya mwili.
Je!kuna kuna ukweli wowote au ni maneno tuu ya wasiojua/elewa?
Je!kuna kuna ukweli wowote au ni maneno tuu ya wasiojua/elewa?