Kwekitui
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 1,070
- 1,083
Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum,
cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani.
Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa?
Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije tufanye biashara