Hela mshampa??View attachment 2047295
Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum,
cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani.
Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa?
Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije tufanye biashara
View attachment 2047325
Yuko sahihi ,,Vioo saizi havipatikani Sana na wachina wamepunguza kuvizarisha ,,Mimi Nina ofisi nauza chuma Cha aluminum ,Vioo Aina zote na vifaa vingine pia natengeneza milango, madirisha,na shughuli nyingin zote zinazohusu aluminium ,,View attachment 2047295
Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum,
cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani.
Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa?
Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije tufanye biashara
View attachment 2047325
Yawezekana kweli jana nimetoka kununua kioo huko ndani tena cha nyumba iliyovunjwaKuna kazi ya mteja hapa tunayo leo imefunga mwezi kioo anachotaka Halipo bongo hii, kimeadimika tumejaribu kumshawishi abadili kioo kagoma na sisi tumeachana naye ,,ukitaka kuamini nenda kaulize madukani yote na supplier hamna kioo
Ni kweli kabisa vioo ni shida kwanza vilikuwa vinauzwa kati ya 73000 mpaka 75000 kwa sheet, ikapanda ikaja 120000, ikapata ikaja 170000 now hata ukipata mara nyingi ni kwa 180000.View attachment 2047295
Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum,
cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani.
Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa?
Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije tufanye biashara
View attachment 2047325
Sio kwamba havipo bali bei imepaaa mbayaView attachment 2047295
Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum,
cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani.
Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa?
Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije tufanye biashara
View attachment 2047325
Madhara ya corona hayo!Ni kweli kabisa vioo ni shida kwanza vilikuwa vinauzwa kati ya 73000 mpaka 75000 kwa sheet, ikapanda ikaja 120000, ikapata ikaja 170000 now hata ukipata mara nyingi ni kwa 180000.
Vioo ni shida sana. Sijui shida nini
Mbao ni expensive kuliko aluminumdah haya, naona waturuki wanakuja tena kufungua maduka yao.....
Sio lazima tutumie hizo aluminium sasa, tuendelee tu technolojia yetu, madirisha yetu yale ya mbao na nondo + nyavu za mbu maisha yanaendelea....
Majumba yenyewe yako ndani ya maukuta marefu nyuma imefichwa ndani huko, urembo wa nini sasa?
Clear glass ya 4mm huku 5000 na 5 mm ni 6000 na kukipata ni shida sanaKioo kimepanda bei mpaka inaogopesha.. eti clear glass ya 4mm inafika 3500 kwa square foot?????? Dah.. ngachokaa.. wakati mwaka jana mwishoni nilinunua kwa tshs 1500...