Hivi ni kweli kuna ushirikina katika elimu

Hivi ni kweli kuna ushirikina katika elimu

Travis wright

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
14
Reaction score
1
Kuna rafk yangu amekuwa akisemwa sana kwamba anatumia ushirikina katka masomo na hiyo imetokana na kushikilia nafasi ya kwanza toka 4m 1 mpaka 4m 4...na amepata 1 ya 10 mtihan wa taifa..hivi aya mambo yapo kweli?
 
Wewe ndiyo utuambie sasa kama yapo/laa!
Ila kama ipo hiyo ni nzuri huenda ikapunguza
zile sifuri,jaribu kumuona Kawambwa&Mulugo

Amini kuwa huo ni Usanii kitu kama hicho
hakunaga katika Elimu huyo ana uwezo tu !
Ndiyo maana anafanya vizuri si uchawi.
 
ni kweli kabisa mkuu, mimi nilishashukiwa kwamba wazazi wangu wananipa uchawi ndio maana nafaulu sana darasani kuliko wengine! lakini haikuwa kweli hata kidogo, kweli ya mungu niliyokuwa naifahamu ni juhudi za wazazi wangu za kunikazania nisome kwa bidii.
 
Back
Top Bottom