Kuna rafk yangu amekuwa akisemwa sana kwamba anatumia ushirikina katka masomo na hiyo imetokana na kushikilia nafasi ya kwanza toka 4m 1 mpaka 4m 4...na amepata 1 ya 10 mtihan wa taifa..hivi aya mambo yapo kweli?
ni kweli kabisa mkuu, mimi nilishashukiwa kwamba wazazi wangu wananipa uchawi ndio maana nafaulu sana darasani kuliko wengine! lakini haikuwa kweli hata kidogo, kweli ya mungu niliyokuwa naifahamu ni juhudi za wazazi wangu za kunikazania nisome kwa bidii.