Aysee wale Mbuzi wanashangaza sana! Hata mateja na uchizi wao hawawaibi wala niniWale mbuzi wa albadiri gonga uone.
Mkuu nchi zetu bado hazijafikia ustaarabu huo! Kwenye baadhi ya miji, barabara imezongwa na nyumba pande zote..Pia sheria za Highways, pedestrians hawaruhusuwi ila sehemu maalum labda ya kuvukia,wanyama it's a NO,pikipiki zote zenye cc ndogo haziruhusiwi, but Tanzania tuende nayo hivyo hivyo