simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
The Kelvin scale is an absolute , thermodynamic
temperature scale using as its null point
absolute zero, the temperature at which all
thermal motion ceases in the classical
description of thermodynamics.
The Kelvin scale is an absolute , thermodynamic
temperature scale using as its null point
absolute zero, the temperature at which all
thermal motion ceases in the classical
description of thermodynamics.
Amazing!The Kelvin scale is an absolute , thermodynamic
temperature scale using as its null point
absolute zero, the temperature at which all
thermal motion ceases in the classical
description of thermodynamics.
Kwa miaka 9 nadhani wanipe tu ka masters 😀Ushakua mkongwe wa Jf xx
Inabidi wakupe gambaa (cheti) chako cha degree
hongera mkuu
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bestito jamani umenifanya nicheke kwa nguvu hapa ofisiniNi kweli kama mimi nina degree ya kuvuta bangi na kunywa.pombe nayo ni degree
Gombea ubunge!Mimi nimeishia Darasa la Saba....Ila najua kusoma na kuandika..
Sio shisha..?Ni kweli kama mimi nina degree ya kuvuta bangi na kunywa.pombe nayo ni degree
Mkuu uko chuo ganShalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
Imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo?
Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa?
Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.
Tubadilike jamani.
Hapana mkuuSio shisha..?
Degree ya kusakaa pesaMiss Chaga kwa hiyo degree naleta posa maana muda mrefu nilikuwa natafuta mwanamke mwenye sifa hizo.