Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
hahahahaha, maaana za kulazimisha!!Kichapishio, UKI(uti wa mgongo wa kinakilishi), waya malaya, kinasa mawimbi mtandao, na kielekezo komandi. Una lingine?
Temperature = hali jotoNaomba tafsiri ya Temperature na Heat in swahili.
Naomba tafsiri ya Temperature na Heat in swahili.