Ebu tusema ukweli.hata kama ilionekana ni utaratibu mpya umewekwa ili kundi hili linalojitafutia pesa kwa njia ya kipato kidogo lisisumbuliwe kwa njia Yoyote ile kwa kutambuliwa na mamlaka za serikali .wapinzani mmeligeuza kwamba ilikuwa ni njia ya serikali kupata kodi kutoka kwa watu hawa.jamani kwani shida iko wapi ikiwa kila mtanzania akachanhia pato la taifa?
Ebu tuwe wa kweli .Majasiliamali huyu ambaye atapata kitambulisho kwa shilling 20,000 kwa mwaka,ina maana hata kama ingekuwa ni aina ya kodi maana yake ni kwamba anatozwa shilling 1650 kwa mwezi.kwa hiyo mnaolalamika mnaona kutozwa shilling 1650 kwa mwezi ni nongwa kiasi cha kuona kuwa awamu ya tano haiwatendei haki machinga na wajasiliamali wadogo?kwamba mjasiliamali Huyu hajapata 1650 kwa mwezi ?tuwage serious!! Lakini machinga huyu analilia Barabara ya lami, zahanati,huduma bure ya mama na mtoto,mtoto wake asomeshwe bure ,analilia maji na umeme,lakini asilipe Kodi hata kidogo!!! Common guys!! Ok tuchukulie kwamba vitambulisho vitolewe bure hivi hiyo machine ya kupritia vitambulisho mmeipata bure na kama ni bure haitaiji service?juzi mmepinga kwamba hatuko uchumi wa kati lakini bado mnataka huduma zote zitolewe bure na serikali au nchi maskini.common!!
Mnaotaka kutoa elimu bure ,mikopo bure ya elimu ya juu ,bima za afya bure au gharama nafuu,kila kitu bure bure bure bure ,chakula bure mashuleni ni kwamba mnawadanganya wananchi ili mpate kura mwingie ikulu lakini hamna mipango madhubuti ya kumkomboa mtanzania kutoka katika umaskini wa ki akili na kouchumi.at the end lazima taifa life kwa sababu hakutakuwa na miundo mbini imara ya kiuchumi. Aidha mmedanganywa na wazungu ili muje kuuza ardhi ya nchi ili wazungu wachimbe dhahabu nakuacha nchi ikiwa imejawa na Mashimo kila mahali huku watoto na wajukuu wetu wakifunikwa na Mashimo hayo kipindi cha mvua.
Mnapotaka kuanzisha mambo msikopy na kupesti kutoka ughaibuni maana historia ya mataifa hayo huijui vizuri.Leo ukitaka tukopy na kupesti kutoa America, UK,Canada etc kumbuka kuwa uchumi wao umejengwa na mababu zetu kipindi cha utumwa .capital kwao ilikuwa cheap labor from our ancestors who were taken from Africa .
Mh Rais JPM,nakuomba hoja zengine usiwe unazijibu haraka maana hawa wapinzani hawaulizi ili waelewe bali ili wakutege.Kumbuka Kuwa wanasheria ndiyo zao kugeuza maneno ili kutoa haki pasipo haki.wanasheria wanaweza kumtetea Muuaji kabisa tena huku wakijua ni kweli ameua lakini kwa kugeuza maneno akapata haki pasipo haki.
Ukitaka kujua kuwa vitambulisho havikuwasaidia wajasiliamali wadogo nenda kawaulize .if no research no right to speak.
Tujenge taifa letu sisi sote kwa pamoja