loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,145
nijaribu nnJaribu kwanza
ndio maana nimetaka msaada huku ili nijiridhisheSiku izi madokta wengi ni full ubabaishaji
mimi sina hiyo tabia kihivyo ila jibu la madokta litasambaza utambuzi kwa waliobobea kwenye hiyo mamboUkiambiwa haisababishi utaendelea kuzama kwenye chumvi au utaacha
Hata huku unadhani hakuna wababaishaji ??ndio maana nimetaka msaada huku ili nijiridhishe
ni kweli wapo ila kwa kuwa ni sehemu wazi huenda wakapata challengi kutoka kwa wenzaoHata huku unadhani hakuna wababaishaji ??
mkuu upo sahihi kabisaSio kila kitu lazima ufanye .....pale ukeni ni uume tu unatakiwa kupita pamoja na mtoto hayo mengine mmeyataka wenyewe
upo sahihi ila inabidi tupate jibu sahihi hapa ili kuondoa double standard ya hii mambo ya chumviniSio kila kitu lazima ufanye .....pale ukeni ni uume tu unatakiwa kupita pamoja na mtoto hayo mengine mmeyataka wenyewe
hiyo ya kansa nimeisikia na madokta wengi wanasema ni kweli haswa kama muhusika ana multiple partnersSio meno kuuma tu wanasema na kansa eti[emoji23][emoji23][emoji23]
We waache wang'ang'anie vitu vya ajabuSio meno kuuma tu wanasema na kansa eti[emoji23][emoji23][emoji23]
hatuachiWe waache wang'ang'anie vitu vya ajabu
Endeleeni kwani mtakapougua kansa mtakua na Mimi [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] eti unanijibu kishujaa kabisa kwenye kuhatarisha afya yako mwenyewhatuachi
umejiuje kama ni kishujaa wakati huenda hampo pamoja au una maono ya kujua mwandiko wa kishujaaEndeleeni kwani mtakapougua kansa mtakua na Mimi [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] eti unanijibu kishujaa kabisa kwenye kuhatarisha afya yako mwenyew
kufa sio dhambi,kila mtu atakufa tuEndeleeni kwani mtakapougua kansa mtakua na Mimi [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] eti unanijibu kishujaa kabisa kwenye kuhatarisha afya yako mwenyew