tembothegreat
Member
- Oct 10, 2018
- 54
- 53
he he
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakagueha ha haaaa.. Hv ni kweli asilimia kubwa ya hawa ndugu zetu wenye miili mikubwaa (mabaunsa) au kwa jina lingine mabode wanakuaga na maumbile madogo ya siri (mikia ya pilipili).
Na ubabe wote walionao lakini down town chakaaa.... Ha ha haa
NOTE: Msemo(mkia wa pili pili) nimeitroduce mimi kwa mara ya kwanza. Haujawai kuskika popote.
T.Tembo
WanashangazaWanaume wa cku iz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umewavulia wangapi?
Weka jina lako halisi ili msemo wako na jina la alie anzisha viwekwe kwenye kumbukumbu mimi nipo bakita hapa.ha ha haaaa.. Hv ni kweli asilimia kubwa ya hawa ndugu zetu wenye miili mikubwaa (mabaunsa) au kwa jina lingine mabode wanakuaga na maumbile madogo ya siri (mikia ya pilipili).
Na ubabe wote walionao lakini down town chakaaa.... Ha ha haa
NOTE: Msemo(mkia wa pili pili) nimeitroduce mimi kwa mara ya kwanza. Haujawai kuskika popote.
T.Tembo