Wana Jamii.
Mimeshangazwa na kauli ya katibu Mkuu wa CCM Mwl. Luteni Makamba ya kwamba hakuna picha za Ikulu katika mabango, hivi haoni ama anafanya kusudi,pale karibu na ofisi ya Tigo pana bango la Taifa Stars na JK mpaka nembo ya Taifa imeonekana, wacha hilo nijuavyo mimi picha zote anazopiga Raisi ni za Ikulu na hata ikitolewa na gazeti lolote lazima iandikwe kwa hisani ya Ikulu, na hayo mabango yaandikwe picha kwa hisani ya wapi?
tatizo kubwa la makamba he is to much defensive may be coz of his height or what??? hana mda wa kuwatafakari yaliyosemwa? pale kamata kuna picha ya JK na Obama, inampigia kampeni ankal,upuuzi mtupu.
Naomba piga picha hiyo hasa aliyopiga na Obama kama ni ya kampeni kweli iweke humu nitaipeleke kwa wanaojali, nitajitolea kuzipeleka kwa gharama yangu please, am not in Dar.tatizo kubwa la makamba he is to much defensive may be coz of his height or what??? hana mda wa kuwatafakari yaliyosemwa? pale kamata kuna picha ya JK na Obama, inampigia kampeni ankal,upuuzi mtupu.