MZEE SERENGETI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 214
- 10
Nini gari...! kiswahili kajifunzia ukubwani!!!
Nini gari...! kiswahili kajifunzia ukubwani!!!
Wengi tumejifunzia ukubwani, hilo si la kutisha.
Gari kujua au kutokujua halikupunguzii au kukuongezea chochote hasa katika uwezo wa kupamabanua mambo aliokuwa nao ni zaidi ya yote
Mungu amlaze pema peponi
Sijui chochote kuhusu hilo,ila nachokifahamu mwalimu aliwaendesha watanzania tena kwa spidi kweli mujini mpaka vijiji vya ujamaa.Wana JF Nimekuta watu wakiongea na kubishana kwamba Marehemu baba wa Taifa alikuwa busy sana kiasi kwamba hakupata muda wa kuweza kujifunza kuendesha gari,kwamba hadi mauti yanamkuta alikuwa hajui kuendesha Gari,(KUNA ANAYE JUA CHOCHOTE KUHUSU HILI)
hivi jamaa yetu anajua computer??
hivi jamaa yetu anajua computer??
jamaa yetu anajua kuendesha hadi bembea za jamaika
Baba wa taifa alikua anajua kuendesha hii: