Hivi ni kweli marehemu baba wa taifa alikuwa hajui kuendesha gari


Duuh ama kweli humu kuna Mabingwa wa ku-copy na ku-paste...
 
alikuwa anajua kuendesha nji hii .full stop
gari sio ishu kwani yeye hakuona hata
umuhimu wa haya mashangingi.:israel:
 
alikuwa anajua kuendesha hii nji FULL STOP
ndo mana hakuona haja ya mavx:bange:
 
alikuwa anajua kuendesha hii nji FULL STOP!!!!!!!!!!ndo mana hakuona haja ya mavx
 
Kumbe kutokuwa na akili ulianza siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…