paulndasi9
Member
- Aug 8, 2014
- 83
- 9
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nikiwa katika shuguli zangu hapa mkoani rukwa wilaya ya sumbawanga nakutana na hii stori kwamba huyu gwiji wafiramu Tanzania marehemu stivin kanumba alizaa na mwanamke mmoja ambaye yeye kwa maelezo yake alidai alikua mfanya kazi wake sikutaka nisikie tu hii stori bali nilifunga safari hadi mtaa wa majengo waliya ya sumbawanga na kufanikiwa kuku tana na mama huyu wa mtoto anaye sadikiwa kuwa ni mtoto wa marehemu kanumba ambaye amepewa jina la JONSON KANUMBA
Kwa maelezo ya mama wa mtoto ambaye aliongea kwa huzuni na masikitiko makubwa kwa mwanaye ambaye yeye anadai kuwa ameshindwa kuaminiwa na upande wa ndugu na jamaa wa upande wa mzazi mwenzake ambaye ni marehemu kanumba kwasasa mtoto huyu ambae inasemekana hata shule mauzurio yake sio mazuri
KUNA MASWALI HAPA NIKAWA NAJIULIZA
(a) wanasema mama wa mtoto ndie anae jua baba wa mtoto je kwanini mama mpaka huyu bado anamsingizia mtu aliye kwisha kufariki kuwa ndio baba wa mtoto
(b)damu ya mtu haipotei kwanin mpaka leo baba wa mtoto huyu ajajitokeza.
Ieleweke kuwa hakuna mwenye uhakika na haya maelezo ya huyuu mama japo hii yote ni kufanya jamii ielewe na ijuee kuwa ina weza ikawa kweli au isiwe kweli