Hivi ni kweli Marehemu Kanumba hakuwahi kuwa na mtoto?

paulndasi9

Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
83
Reaction score
9
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nikiwa katika shuguli zangu hapa mkoani rukwa wilaya ya sumbawanga nakutana na hii stori kwamba huyu gwiji wafiramu Tanzania marehemu stivin kanumba alizaa na mwanamke mmoja ambaye yeye kwa maelezo yake alidai alikua mfanya kazi wake sikutaka nisikie tu hii stori bali nilifunga safari hadi mtaa wa majengo waliya ya sumbawanga na kufanikiwa kuku tana na mama huyu wa mtoto anaye sadikiwa kuwa ni mtoto wa marehemu kanumba ambaye amepewa jina la JONSON KANUMBA

Kwa maelezo ya mama wa mtoto ambaye aliongea kwa huzuni na masikitiko makubwa kwa mwanaye ambaye yeye anadai kuwa ameshindwa kuaminiwa na upande wa ndugu na jamaa wa upande wa mzazi mwenzake ambaye ni marehemu kanumba kwasasa mtoto huyu ambae inasemekana hata shule mauzurio yake sio mazuri

KUNA MASWALI HAPA NIKAWA NAJIULIZA
(a) wanasema mama wa mtoto ndie anae jua baba wa mtoto je kwanini mama mpaka huyu bado anamsingizia mtu aliye kwisha kufariki kuwa ndio baba wa mtoto

(b)damu ya mtu haipotei kwanin mpaka leo baba wa mtoto huyu ajajitokeza.

Ieleweke kuwa hakuna mwenye uhakika na haya maelezo ya huyuu mama japo hii yote ni kufanya jamii ielewe na ijuee kuwa ina weza ikawa kweli au isiwe kweli
 
We jamaa jipu kabisa... Sa si uweke pichs ya mtoto huyo..
 
Kwa kushupalia huku inaonekana wewe ndie uliyezaaa na kanumba huyo mtoto..halafu hujui hata kusingizia mtu yaani mtoto ana miaka miwili wakati kanumba kafa zaidi ya miaka 4 iliyopita au ulikaa na hiyo mimba tumboni kwa miezi 36?
 
Kwa kushupalia huku inaonekana wewe ndie uliyezaaa na kanumba huyo mtoto..halafu hujui hata kusingizia mtu yaani mtoto ana miaka miwili wakati kanumba kafa zaidi ya miaka 4 iliyopita au ulikaa na hiyo mimba tumboni kwa miezi 36?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] u'v killed ma dei mamen!
 
Kama una nauli fika hadi katavi...mtaa wa kawajende utakuta na stori ya jamaa kudai daimondi ni mtoto wake.

Mzee atakupa historia yote na inasemekana alionana na diamond alipofika katavi
 
kanumba alikua tasa
 
Inawezekana aliacha mtoto bila yeye kujua ndomana vijana mnashauriwa msikatae mimba za wachumba zenu siyo mnamwaga ndani na kukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…