Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!Wana JF.
Kuna habari tumezisikia kupitia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania, kuwa Mwenyikiti wa Chadema, Freeman Mbowe anakidai chama Sh. 188 milioni. aliongezea kununua vifaa, Bendera, Kanga, Kofia, Fulana, kwa ajili ya uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Na Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo anakidai chama Sh. 296 milioni, kwa ajili Helikopta zake zilitumika kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu mwaka 2010
Nadhani umesikia vibaya tune vizuri radio yako maana habari zenyewe zilikuwa hivi: Baadhi ya mabenki ya biashara nchini yanaidai serikali mamilioni ya fedha. Serikali ililazimika kukopa ili kulipa mishahara ya waafanyakazi huku majidiliano na Ankle Sam yakiendelea. Hata hivyo Ankle Sam katoa hela aprox Tshs 840 bilioni ambacho ni $80 less kuliko mwaka 2010.
yec ata yule wa arusha nae anadai milion 45 kukijenga chama arusha,nitawaletea barua yake kwa ushahidi.hawa wakishika serikali watalipana kwanza
Kwa nini upotoshe mada? Kama unajua kwamba wanadai au la sema. Kama huna cha kuchangia bado heshima yako itabaki pale pale mkuu!
Wana JF.
Kuna habari tumezisikia kupitia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania, kuwa Mwenyikiti wa Chadema, Freeman Mbowe anakidai chama Sh. 188 milioni. aliongezea kununua vifaa, Bendera, Kanga, Kofia, Fulana, kwa ajili ya uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Na Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo anakidai chama Sh. 296 milioni, kwa ajili Helikopta zake zilitumika kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu mwaka 2010
Wala sijaishiwa cha kuchangia. And if you read my comment more carefuly utaelewa point yangu and more importantly its 100% confirmed na sio tetesi "kupitia vyombo vya habari hapa Tanzania". Nimalizie kusema majungu na porojo kwa kisingizio cha habari kupitia vyombo vya habari hapa Tanzania is so low and ancient strategy to rely on I wonder where do you get the guts to write such a nonsese!
mwaya,hivi unaendaga hata chooni kweli wewe?Aloenda.. hili ni lichadema-kata la Tarime, kaka rudi shule kajifunze kuandika vizuri unaandika Crackpot
Wamejitolea haiwaidai chadema!pia chadema haikuwa na utaratibu wa kuhonga fulana,kofia na chupi kwa akina mama,wasanii na wanafunzi wa shule kama ccm!wanachadema walijinunulia wenyewe vifaa vya kuvaa!HATA HIVYO MTU BINAFSI KUDAI NA KUDAIWA NI SEHEMU YA MAISHA,UBAYA NI NCHI KAMA TANZANIA KUDAIWA KWA PESA ZILIZOISHIA KWA MAFISADI!
Source yako ndiyo imaniacha hoi mkuu, gazei la mzalendo?Gazeti la mzalendo 15 may 2011. hicho ni chombo kimojawapo kimetoa hiyo habari