Hivi ni kweli mikoa ya Njombe na Iringa mtihani wa darasa la saba umerudiwa kusahihishwa?

Hivi ni kweli mikoa ya Njombe na Iringa mtihani wa darasa la saba umerudiwa kusahihishwa?

Gwalugano

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
18
Reaction score
3
Inasemekana kuwa mtihani wa darasa la saba mikoa ya Njombe na Iringa umerudiwa kusahihishwa na kupata shule mpya zinazoongoza badala ya shule ya BAKITA ni St.Benedict.Je inamaana njia zakisasa zakusahihishia nazo hazifai
 
mkuu ndio nasikia kwako. Ila kuna tatizo moja kuna watoto walipangiwa,kwenda kwenye shule za vipaji maalamu lakin wamezuiliwa hapo sijajua nin utata
 
Back
Top Bottom