G Gwalugano Member Joined Jan 3, 2014 Posts 18 Reaction score 3 Jan 20, 2014 #1 Inasemekana kuwa mtihani wa darasa la saba mikoa ya Njombe na Iringa umerudiwa kusahihishwa na kupata shule mpya zinazoongoza badala ya shule ya BAKITA ni St.Benedict.Je inamaana njia zakisasa zakusahihishia nazo hazifai
Inasemekana kuwa mtihani wa darasa la saba mikoa ya Njombe na Iringa umerudiwa kusahihishwa na kupata shule mpya zinazoongoza badala ya shule ya BAKITA ni St.Benedict.Je inamaana njia zakisasa zakusahihishia nazo hazifai
N NyaniMwekundu Member Joined Jul 17, 2013 Posts 22 Reaction score 5 Jan 20, 2014 #2 mkuu ndio nasikia kwako. Ila kuna tatizo moja kuna watoto walipangiwa,kwenda kwenye shule za vipaji maalamu lakin wamezuiliwa hapo sijajua nin utata
mkuu ndio nasikia kwako. Ila kuna tatizo moja kuna watoto walipangiwa,kwenda kwenye shule za vipaji maalamu lakin wamezuiliwa hapo sijajua nin utata