Jamaa yangu mmoja alikua tapeli sana watu aliwaotapeli walikua wana mtishia kumroga..sasa ..muda wote alikua anashinda amelewa na si kawaida yake..kuumuliza akasema anakunywa ili asirogeke..