Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Tukiwa tunaomboleza kifo cha Augustine Mrema, mtu pekee kuwahi kushika cheo cha Naibu Waziri Mkuu. Mtaani kuna tetesi kuwa enzi za ubora wake, Marehemu Mrema aliwahi kuzuia tausi wasitoroshwe airport na mke wa kigogo fulani. Ukweli wa taarifa hizi upoje? Wakongwe njooni mtujuze...
Funguka kidogo mkuuLoliondo Gate
Ndiyo Mpaka Kesho Mwarabu Anatamba, Maasai Wanakwenda Handeni
Tausi tuu.. Twiga kwenye containerTukiwa tunaomboleza kifo cha Augustine Mrema, mtu pekee kuwahi kushika cheo cha Naibu Waziri Mkuu. Mtaani kuna tetesi kuwa enzi za ubora wake, Marehemu Mrema aliwahi kuzuia tausi wasitoroshwe airport na mke wa kigogo fulani. Ukweli wa taarifa hizi upoje? Wakongwe njooni mtujuze...
Kuhamia Tanga , na Loliondo vinamahusiano?Loliondo Gate
Ndiyo Mpaka Kesho Mwarabu Anatamba, Maasai Wanakwenda Handeni
Siyo wanadai huo Ndiyo Ukweli wenyewe. Labda wewe enzi hizo hukuwepo au ulikuwa mdogo sana, sisi wakongwe tulikuwepo enzi hizo gazeti letu pendwa Mfanyakazi liliripoti sana skendo na habari za uchunguzi, liliripoti habari hiyo ya Mrema kukamata dhahabu aliyokuwa nayo Siti Mwinyi uwanja wa ndege akielekea Dubai. Guess what? It was premature victory. The contraband was released the same hour, and the first lady proceeded with her journey. Na ndiyo mwanzo na sababu ya kutolewa wizara ya mambo ya ndani akatupwa Kazi, vijana na nini sijui.Zilikuwa ni story za tauni enzi hizo,wanadai ni dhahabu sio tausi
Simba wenye baka jeupe....Tausi tuu.. Twiga kwenye container
Nenda kalambe limaoKwa hiyo ikiwa ni kweli au siyo kweli, what next? Alikamata? Aliwahi kuwa polisi!