Kama yupo na hao basi ngoja tumkumbuke NgwairMtaani kuna habari zinasambaa kwa kasi kuwa msanii wa hit song ya muziki, Msanii Darasa anakula unga. Juzi kati nikafanikiwa kumuona kwenye Clouds Tv kwenye show ya jiwe la mwezi pale Morogoro jamaa amepungua sana halafu muda wote alikuwa ana wenge sana.
Je tetesi hizi zina ukweli kiasi gani?