Hivi ni kweli msanii huyu hawezi kiswahili?

Hivi ni kweli msanii huyu hawezi kiswahili?

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,168
Reaction score
1,549
Nasikiliza clouds fm,yupo msanii anahojiwa.Ni Cindy muimba bongo flavour, kila baada ya neno moja au mawili anaongereza tena kibayaa! Anakera ile mbaya! Msiwe hivyo waswahili! Tena ni mmatumbi!
 
Si unajua tena mambo ya swagga hehehehe!!! the girl has to show that she's got some swagg' going on....nina uhakika atakuwa anatumia "like" mara kibao
 
Si unajua tena mambo ya swagga hehehehe!!! the girl has to show that she's got some swagg' going on....nina uhakika atakuwa anatumia "like" mara kibao

Wewe una 'swag'?
 
Back
Top Bottom