Hivi ni kweli mtu anaweza kufanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI asiambukizwe?

ilege

New Member
Joined
Jul 17, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Jamani mtu anaweza kufanya mapenzi na mwanamke mwenye UKIMWI kama mara tano asipate?Baada ya kugundua mwanamke kaathirika alienda kupima ila alikutwa negative?

Pia nauliza tena kuambukizwa kisonono kwa mwanamme ni rahisi kuliko ukimwi? Na je mwenye group la damu O Negative hawezi kuambukizwa UKIMWI?

Jamani naombeni jibu sahihi ili kujifunza zaidi na sio kusanifu, nasubiri.
 
ukweli mtupu
1. unaweza kufanya na mwanamke mwenye ukimw mara tano na usiambukizwe..

2. kuambukizwa kisonono kwa mwanaume ni rahis kuliko ukimwi..

3. mwenye group la 0 negative hawez pata ukimwi...

hivi Lowasa kesha hamia UKAWA?
 
kufanya nae mapenzi Mara tano@kichwa ndiyo mtu
 
Kwa nini usipate, unapata vizuri sana. Kama una group O ukimwi unapata ila unakuwa "Carrier", yani unakuwa nao ila unakuwa muambukizaji na wewe kuonekana upo sawa.
 
Inawezekana kabisa issue za discordant couples ni kawaida sana ukienda vct na wenyewe wana sema kwamba probability ya kupata HIV ukifanya unprotected ngono na mtu mwenye HIV ni 0.003
 
sasa mbona kama unauliza tena wakati wewe ndio uliyepima na kukuta huna maambukizi na je, baada ya kupata gono umepima tena?? kuhusu group la damu hakuna ukweli kama ukifanya ngono zembe utabukizwa tu hata km una group o-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…