Hivi ni kweli nabii mwingila kabaka?

chepe salum

New Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Ni maajabu kusikia nabii anabaka,bado siamini mbona hajashitakiwa?au ndio mambo ya mwenye kesi ya kuiba kuku kuhukumiwa mwaka mmoja jela,fisadi wa epa anaombwa arudishe mabilioni aliyoiba.
 
Wewe hukuona tamko la maaskofu wenzake? Inasemekana alikuwa anamtakasa mke yule, ni ritual ya kawaida kwa watumishi hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…