Kinatoa majibu sahihi bila shaka
Nashkuru kwa majib madam zero.
sio kweli...huwa kinapatia kwa aslimia kubwa ila sio kipimo chenye uhakika kwa asilimia mia moja hasa wiki ya kwanza ya ujauzito maana hCG hazijafikia kiwango kikubwa kwenye mkojo...Kipimo cha uhakika ni cha damu hasa kikifanyika hospitali. Nakushauri kapime hospitali kuondoa utata.