tume ni ya muungano, hivyo imeshughulika na muungano; raslimali si suala la muungano. Kuhusu serikali tatu hili naona ili muungano uwepo lazima wawepo kwanza hao wanaoungana, yaani Tanganyika na Zanzibar; hao ndio waunde muungano. Kwangu majina si muhimu sana, la muhimu ni hiyo set-up.