Elections 2010 Hivi ni kweli Prof.Lipumba....?

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
Hivi ni kweli Prof.Lipumba alikuwa mshauri wa Mzee Mwinyi kwenye masuala ya uchumi wakati Mwinyi akiwa raisi??????
 
Huwa najiuliza nani tatizo mshauri..... mshauriwa?
 
Ni kweli. Alikuwa Economic Advisor wa Rais Mwinyi. Alitokea UDSM.:glasses-nerdy:
 
vipi tandala one mbona kama umetumwa??? wewe si mwana ccm kwahiyo unajua hayo....... #$%^&*()_)(*&^%$%^&*zako
 
Hivi ni kweli Prof.Lipumba alikuwa mshauri wa Mzee Mwinyi kwenye masuala ya uchumi wakati Mwinyi akiwa raisi??????

Umeshidwa hata ku-google upate hizo obvious information?
 
Umeshidwa hata ku-google upate hizo obvious information?

Nawaulize ninyi mlio katika nyumba hii ya fikra.Hapa ni zaidi ya google.Google hawatasema kwa nini kama alikuwa mshauri leo anapinga mfumo wa uchumi ambao alikuwepo.Wananchi tunawaona wapinzani ni wehu tu.
 
Correction: "....wananchi tunawaona mafisadi na waliotumwa na mafisadi kwa jina la upinzani (CUF) ili kugawa kura za urais zitakazopigwa ili kuipunguzia kasi CHADEMA kuwa ni wehu tu.....!
 
Correction: "....wananchi tunawaona mafisadi na waliotumwa na mafisadi kwa jina la upinzani (CUF) ili kugawa kura za urais zitakazopigwa ili kuipunguzia kasi CHADEMA kuwa ni wehu tu.....!

Acha pumba.. atakaegawa kura za urais ni nani? Lipumba au slaa? kwani nani alioanza kuwepo kabla uchaguzi huu? kwani nani alietangaza Mwanzo kuwa ataogombea? umesahau kuwa slaa alikuwa tayari yupo hatua za mwisho za kugombea ubunge kwa kauli yake mwenyewe? huoni baada ya Lipumba kutangaza na hao ccm-b chadema wakatumwa na ccm ili na wao wamsimamishe mgombea tena mtu ambae atakaeweza kupunguza kura za Lipumba? kwani nani mpaka sasa ana mtaji mkubwa wa kisiasa,baina ya Lipumba na slaa? yaani laiti ingekuwa vyombo vya habari vinatenda hakki basi ungeona jinsi Cuf mikoani wanavopata sapoti tena wamevunja record huko, isipokuwa hivi vyombo vyetu vya habari vinatumiwa na ccm ili viitangaze ccm na waitangaze chadema ionekane chadema ina nguvu kuliko Cuf,then kwenye uchaguzi wanataka kuhakikisha Cuf wasipate mgombea hata mmoja kama walivofanya uchaguzi uliopita,halafu wananchi hapo ndio wataona kweli Cuf imekufa kwa sababu hata kwenye magazeti tuliisikia ccm na chadema tu.. Lkn tunasema uchaguzi wa mwaka huu tutauwana,hatukubali ng'o. na mfano mzuri tumeonesha juzi tu ktk uchaguzi wa serekali za mitaa ni chama kilichovuna viti vingi baada ya ccm, pamoja na ccm kutuibia viti vingi na kutufanyia kila aina ya vitimbi,lkn bado tupo juu,sasa tunataka kuzidisha uzi...
 
Nawaulize ninyi mlio katika nyumba hii ya fikra.Hapa ni zaidi ya google.Google hawatasema kwa nini kama alikuwa mshauri leo anapinga mfumo wa uchumi ambao alikuwepo.Wananchi tunawaona wapinzani ni wehu tu.

Wewe sio mmoja wa wananchi
 
Nawaulize ninyi mlio katika nyumba hii ya fikra.Hapa ni zaidi ya google.Google hawatasema kwa nini kama alikuwa mshauri leo anapinga mfumo wa uchumi ambao alikuwepo.Wananchi tunawaona wapinzani ni wehu tu.

Mwehu mwenyewe, ficha upumbavu wako usifiche hekima mwehu we!
 
Calipso,
Mimi nilidhani CCM-b ni CUF, no?
 
Hivi ni kweli Prof.Lipumba alikuwa mshauri wa Mzee Mwinyi kwenye masuala ya uchumi wakati Mwinyi akiwa raisi??????

kama ni kweli basi ni kwa ushauri wa ujenzi wa vituo vya mihadhara na kampeni za ant kitimoto
 
vipi tandala one mbona kama umetumwa??? wewe si mwana ccm kwahiyo unajua hayo....... #$%^&*()_)(*&^%$%^&*zako

Kwani yule CCM????Nilidhani kijana wa Buguruni!
 
Wote tatizo.Ila hujajibu swali!!!

Alikuwa mshauri for less than two years. Baada ya kuona ushauri hauzingatiwi akaishia zake. Sasa hapa tatizo liko wapi? Mbona alikuwa na anaendelea kuwa mshauri wa Museveni na huko wanafanya vizuri tu?
 
Correction: "....wananchi tunawaona mafisadi na waliotumwa na mafisadi kwa jina la upinzani (CUF) ili kugawa kura za urais zitakazopigwa ili kuipunguzia kasi CHADEMA kuwa ni wehu tu.....!

Upuuzi mwengine huo. Wakati wapinzani wanasusia matokeo ya uchaguzi wa 2005, huyo Mbowe wenu alihudhuria sherehe za kutangazwa matokeo rasmi ya uchaguzi pale Diamond Jubilee na alikuwa kimbelembele kwenda kumpongeza JK. Sasa analia eti hawatakubali kura kuibiwa? Acheni kujifanya nyinyi ndiyo mlioteuliwa kuwa wapinzani pekee. Hivi unajua mlishika nafasi gani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji na vijiji uliofanyika mwaka jana hata mnataka kujifanya nyie ndiyo wapinzani haswa?
 
kama ni kweli basi ni kwa ushauri wa ujenzi wa vituo vya mihadhara na kampeni za ant kitimoto

Alikuwa anawashauri mapadri namna ya kuwadonyoa vitoto vya Sunday school. Kama uligeuzwa kuwa ubwabwa wa padri, basi ujue hayo yalikuwa matokeo ya ushauri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…