Hivi ni kweli Rayvanny katoka WCB?

Hivi ni kweli Rayvanny katoka WCB?

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Jana wakati wanatambulishwa wasanii wa WCB Bungeni, sikuona Rayvanny akitambulishwa, au ndio ukweli ametoka WCB
 
Jana wakati wanatambulishwa wasanii wa WCB Bungeni, sikuona Rayvanny akitambulishwa, au ndio ukweli ametoka WCB
Ile ni Wasafi media sio WCB jua kutofautiana vitu hivi viwili ndio maana ukumuona Mbosso wala Lavalava
 
Back
Top Bottom