BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Ile ni Wasafi media sio WCB jua kutofautiana vitu hivi viwili ndio maana ukumuona Mbosso wala LavalavaJana wakati wanatambulishwa wasanii wa WCB Bungeni, sikuona Rayvanny akitambulishwa, au ndio ukweli ametoka WCB
We jamaa uliangalia lakini, mbona wote walikuwepo kasoro yeyeIle ni Wasafi media sio WCB jua kutofautiana vitu hivi viwili ndio maana ukumuona Mbosso wala Lavalava
Hainisaidii kituukishajua itakusaidia nini ????!!!
Rayvanny isn't a member of WCB anymore,believe that and get used to the fact that he is managing himself now.