Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Jana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo.
Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya ufaransa kabla ya kutimkia yanga. Swali langu kwanini yanga wamemuachia mchezaji huyu mwenye uzoefu wa kimataifa na kukumbatia akina Makambo, Faisal na kina TK master?
Yanga wamuombe radhi Saido haraka sana na panapo majaliwa dirisha dogo wamrudishe.