Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
bro ni kweli kuwa saidoo amecheza ligi kuu ufaransa lakini kama ulikuwa hujui,yanga haikumuacha saidoo bali walishindwana masharti yeye alitaka mkataba mpya wa miaka 2 yanga hawakukubali kutokana na umri hivyo walimpa mkataba wa mwaka ambao yeye aliukataa ndipo walipokubaliana kuachana kwa amani na furahaJana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo. Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya ufaransa kabla ya kutimkia yanga. Swali langu kwanini yanga wamemuachia mchezaji huyu mwenye uzoefu wa kimataifa na kukumbatia akina Makambo, Faisal na kina TK master? Yanga wamuombe radhi Saido haraka sana na panapo majaliwa dirisha dogo wamrudishe.
KachezaCAEN (SM CAEN)
Ilishuka daraja 2019 na sababu kubwa ilikua madeni na kufilisika
NB: SINA UHAKIKA KAMA SAIDO AMECHEZA CAEN
Sio kweli Saido wakati yanga wapo kambini shinyanga wakijiandaa na mechi na simba kombe la shirikisho,alitoroka kambini kuzoa malaya akakutana na kiongozi wa simba club mitaa ya mwanza,wambea wakamchoma wakidhani anauza gamebro ni kweli kuwa saidoo amecheza liginkuu ufaransa lakini kama ulikuwa hujui,yanga haikumuacha saidoo bali walishindwana masharti yeye alitaka mkataba mpya wa miaka 2 yanga hawakukubali kutokana na umri hivyo wslimpa mkataba wa mwaka ambao yeye aliukataa ndipo walipokubaliana kuachana kwa amani na furaha
Hizo ni kashfa za kuzusha Yanga baada ya kushindwana. Hivi Yanga haiwezi kuachana na mtu vizuri kama kina Kagere na Mugalu?Sio kweli Saido wakati yanga wapo kambini shinyanga wakijiandaa na mechi na simba kombe la shirikisho,alitoroka kambini kuzoa malaya akakutana na kiongozi wa simba club mitaa ya mwanza,wambea wakamchoma wakidhani anauza game
Kwahyo ukahisi unapigwa kamba?Jana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo.
Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya ufaransa kabla ya kutimkia yanga. Swali langu kwanini yanga wamemuachia mchezaji huyu mwenye uzoefu wa kimataifa na kukumbatia akina Makambo, Faisal na kina TK master?
Yanga wamuombe radhi Saido haraka sana na panapo majaliwa dirisha dogo wamrudishe.
Ndiyo hivyo mkuu.Kwahyo ukahisi unapigwa kamba?