Hivi ni kweli Serengeti boys ni under 17?

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Wadau nimekiwa nikipiga kila siku kuwa vijana wetu wa Serengeti boy's sio under 17,kwa factor hizi.

Kama ni kweli vijana hawa wana miaka kumi na saba, inamaana watakuwa wamezaliwa mwaka 2001 . Je kuna mtu anaweza kuniekewa stage amabazo wamezipitia wao vijana mpaka wakawa hapa?

Je Kuna mtu anaweza kunieleza vijana hawa wote wamemaliza form four na ni miaka mingapi sass tangu wamalize shule?

Nasema hawa vijana hawana miaka kumi na saba Narudi hawana
 
Ndio maana nimeuliza
We ujauliza ila unapinga sasa ndo unataka uthibitisho,
Ulichokosea kingine unapinga kwamba si under 17 lakini unakuja na hoja za kupinga badala kuja na hoja za kututhibitishia hiyo wasi wasi wako.
Mi naweza kukuthibitishia kua ni under 17 kwa kigezo cha FIFA na CAF kwamba waliwapima umri wao kabla ya haya mashindano na kutoa majibu kua wanastahili kucheza kwa mana hiyo ni kwamba ni under 17.
Pili suala la kumaliza form 4 sidhani ka kuna mtu au TFF wamesema wamemaliza form 4 au ka sheria za kushiriki lazima umalize form 4.
Ila wengi wametoka kwenye Academy mbali mbali na kucheza mpira sio lazima usome. Ko kukushauri hilo la elimu kwenye shaka lako ungelitoa mana halihusiani na mpira labda ka ni wale wa enzi za Nyerere unamlazimisha mtoto aende shule ni mbumbumbu na yeye ni genius kwenye mpira .
Ila kwa vile umeleta kua ni mjadala, Sijui ulikua na maana gani ulivyoleta hoja ya kumaliza form 4?
 
Mjadala ufungwe, umejibu kila kitu.
 
Kama Ema Okwinyo ana miaka 26 hao serengeti hata wakiwa under 10 ni sawa tu!
Anaonekana hajui mambo ya mpira huyo, aende Naijeria under 13 yao awaone
 
Usidanganyike na sura.
Shida tu hizo.
Mimi nilikuwa simuamini mbappe nilidhani ni mkubwa na anaongopa.
Lakini nilikuja kuamini.
Nilipomuona kapiga picha na Ronaldo akiwa kavaa jezi ya Real Madrid.
Ndo nikajua kweli ni dogo wa juzi.
 
Mleta mada hujacheza mpira. Nakumbuka early 20's kipindi hicho tulikua tunaunda timu ya walimu na wanafunzi tunacheza mpira na wanakijiji. Kuna muda kwenye kikosi alikua haingii mwalimu hata mmoja. Tulikua tunapiga mpira si wa kitoto na tulikua under 17. Sasa wewe kwa hoja zako bado sijaona yenye mashiko.
 
Umbo na Sura havina mahusiano na umri wa mtu.

Mimi nina umbo kubwa sanaa ila huwa nikiwaambia watu nina miaka 18 wanakataa.
 
Umbo na Sura havina mahusiano na umri wa mtu.

Mimi nina umbo kubwa sanaa ila huwa nikiwaambia watu nina miaka 18 wanakataa.
Kweli kiongozi, hao watoto kama wa atoka academy ni watoto wa wenye mpunga. Misosi ya kisasa imewakuza balaa. Nmewahi kumwona mwanafunzi yuko zhule fulan mjini njombe akiwa std 4. Nilikataa na nilipoona kadi yake ya afya sikuamini. Alikuwa na miaka 10 tu, ila mwili utadhani dada wa kitaa mwenye mtoto kabisa. Umbo na umri havina urafiki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…