Kuwa na mwli mkubwa Sawa, lakini sio uwe unambambana kuzidi mwiliKweli kiongozi, hao watoto kama wa atoka academy ni watoto wa wenye mpunga. Misosi ya kisasa imewakuza balaa. Nmewahi kumwona mwanafunzi yuko zhule fulan mjini njombe akiwa std 4. Nilikataa na nilipoona kadi yake ya afya sikuamini. Alikuwa na miaka 10 tu, ila mwili utadhani dada wa kitaa mwenye mtoto kabisa. Umbo na umri havina urafiki sana.
Niamkie harakaUmbo na Sura havina mahusiano na umri wa mtu.
Mimi nina umbo kubwa sanaa ila huwa nikiwaambia watu nina miaka 18 wanakataa.
Kelvin mwaka jana alikuja mashindano ya shule za msingi alikua mkoa wa morogoro, tena alikua mtoto Sana. Kamaliza msingi mwaka jana kuna academy flan ya Mwanza ikamchukua. Mwaka huu kacheza umiseta mkoa wa Mwanza, nimemuona kakua na kukomaa mwili kiasi ambacho mtu akiambiwa ni form one anabisha. Kelvin ni mtoto mdogo under 17 ana kipaji sana Kama hatabadilika atacheza ulaya.Huyo Kevin John atafutiwe academy Ulaya...miaka mitatu ijayo anacheza EPL,Laliga,Ligue one...
Nimecheka sanaKama Ema Okwinyo ana miaka 26 hao serengeti hata wakiwa under 10 ni sawa tu!
NdioWadau nimekiwa nikipiga kila siku kuwa vijana wetu wa Serengeti boy's sio under 17,kwa factor hizi.
Kama ni kweli vijana hawa wana miaka kumi na saba, inamaana watakuwa wamezaliwa mwaka 2001 . Je kuna mtu anaweza kuniekewa stage amabazo wamezipitia wao vijana mpaka wakawa hapa?
Je Kuna mtu anaweza kunieleza vijana hawa wote wamemaliza form four na ni miaka mingapi sass tangu wamalize shule?
Nasema hawa vijana hawana miaka kumi na saba Narudi hawana View attachment 838097View attachment 838100
mbona mkuu wengne wanafunzi kuna mmoja yupo form two pale jitegemee secondaryWadau nimekiwa nikipiga kila siku kuwa vijana wetu wa Serengeti boy's sio under 17,kwa factor hizi.
Kama ni kweli vijana hawa wana miaka kumi na saba, inamaana watakuwa wamezaliwa mwaka 2001 . Je kuna mtu anaweza kuniekewa stage amabazo wamezipitia wao vijana mpaka wakawa hapa?
Je Kuna mtu anaweza kunieleza vijana hawa wote wamemaliza form four na ni miaka mingapi sass tangu wamalize shule?
Nasema hawa vijana hawana miaka kumi na saba Narudi hawana View attachment 838097View attachment 838100
Na Mimi pia Kuna kijana pale ninamfahamu Mkuu hana miaka 17.mbona mkuu wengne wanafunzi kuna mmoja yupo form two pale jitegemee secondary
Kweli?Sasa unashangaa hao miili yao hivi unajua lemutuz ana miaka chini ya 27?
Umewaona vizuri lakini??Hoja yako ni kuwa kijana wa kitanzania wa miaka 17 hawezi kucheza mpira? Umewahi kucheza mpira shuleni? Hujawahi kuwaona form one na two wanatandaza soccer? Vipi kama ndio hao wameonwa na makocha sehemu mbalimbali na kuunda serengeti boys.