Nimesoma gazeti moja la kimataifa linalo ongea kuhusu mashirika ya ndege na kuja kushitukizia kuwa swissport ndio inayo endesha shirika kutokana na changamoto zilizo kabili shirika. Naomba mwenye habari hizi atuelemishe zaidi.
Story hii ni ya Jan 2020: https://www.google.com/amp/s/www.mw...1597296-5404998-view-asAMP-y6ej4jz/index.html
Story hii ni ya Jan 2020: https://www.google.com/amp/s/www.mw...1597296-5404998-view-asAMP-y6ej4jz/index.html