F Falconer JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 891 Reaction score 541 Nov 24, 2020 #1 Nimesoma gazeti moja la kimataifa linalo ongea kuhusu mashirika ya ndege na kuja kushitukizia kuwa swissport ndio inayo endesha shirika kutokana na changamoto zilizo kabili shirika. Naomba mwenye habari hizi atuelemishe zaidi. Story hii ni ya Jan 2020: https://www.google.com/amp/s/www.mw...1597296-5404998-view-asAMP-y6ej4jz/index.html
Nimesoma gazeti moja la kimataifa linalo ongea kuhusu mashirika ya ndege na kuja kushitukizia kuwa swissport ndio inayo endesha shirika kutokana na changamoto zilizo kabili shirika. Naomba mwenye habari hizi atuelemishe zaidi. Story hii ni ya Jan 2020: https://www.google.com/amp/s/www.mw...1597296-5404998-view-asAMP-y6ej4jz/index.html
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Nov 24, 2020 #2 barafu Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Nov 24, 2020 #3 Lisemwalo lipo kama halipo? Naona mkuliwa kutoka southAfrica saivi ametulia zake anakula kuku kwa mrij
Lisemwalo lipo kama halipo? Naona mkuliwa kutoka southAfrica saivi ametulia zake anakula kuku kwa mrij
la magica JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,979 Reaction score 3,148 Nov 24, 2020 #4 Leta habari kamili
Jumbe Brown JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 12,077 Reaction score 12,786 Nov 24, 2020 #5 Mkuu ingekuwa bora ukatutajia hilo GAZETI la kimataifa ili nasi "TUTUPIAMO MACHO"... Alfajiri njema!!
Mkuu ingekuwa bora ukatutajia hilo GAZETI la kimataifa ili nasi "TUTUPIAMO MACHO"... Alfajiri njema!!
J Johnson Fundi JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 1,386 Reaction score 1,207 Nov 24, 2020 #6 labda hukupitia vizuri!!!!maana ATC waliwapa hao jamaa hub management
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Nov 24, 2020 #7 Johnson Fundi said: labda hukupitia vizuri!!!!maana ATC waliwapa hao jamaa hub management Click to expand... Ikoje hii mkuu
Johnson Fundi said: labda hukupitia vizuri!!!!maana ATC waliwapa hao jamaa hub management Click to expand... Ikoje hii mkuu