Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Hadi sasa hivi vijiti vya kuchokonolea meno (toothpik) vinatoka China na maeneo mengine ya huko Asia, sisi hatujaweza kuvitengeneza hapa licha ya kuwa na malighafi tele ya kutuwezesha kutengeneza vitu kama ivo yani kwa ufupi hivi vitu vya kuhitaji teknolojia rahisi kama ivo vijiti, masinki ya kunawia mikono na choo vyote vinatoka hukohuko, tailizi hizi au wengine wanaziita marumaru zinazalishwa na haohao wa Asia.
Hapa hatujazungumzia haya mambo ya kuhitaji tekinolojia ndefu maana huko ni ndoto kabisa kuweza kuyafikia.
Sasa hizi hatua tunazozipiga au sisi tunapiga kwenda kinyumenyume?
Hapa hatujazungumzia haya mambo ya kuhitaji tekinolojia ndefu maana huko ni ndoto kabisa kuweza kuyafikia.
Sasa hizi hatua tunazozipiga au sisi tunapiga kwenda kinyumenyume?