Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
tiles zinatengenezwa hapa hapa bongo_japo zinazotoka nje pia zipoHadi sasa hivi vijiti vya kuchokonolea meno (toothpik) vinatoka China na maeneo mengine ya huko Asia, sisi hatujaweza kuvitengeneza hapa licha ya kuwa na malighafi tele ya kutuwezesha kutengeneza vitu kama ivo yani kwa ufupi hivi vitu vya kuhitaji teknolojia rahisi kama ivo vijiti, masinki ya kunawia mikono na choo vyote vinatoka hukohuko, tailizi hizi au wengine wanaziita marumaru zinazalishwa na haohao wa Asia.
Hapa hatujazungumzia haya mambo ya kuhitaji tekinolojia ndefu maana huko ni ndoto kabisa kuweza kuyafikia.
Sasa hizi hatua tunazozipiga au sisi tunapiga kwenda kinyumenyume?
Kuna kakiwanda ka Toothpick siku hiziHadi sasa hivi vijiti vya kuchokonolea meno (toothpik) vinatoka China na maeneo mengine ya huko Asia, sisi hatujaweza kuvitengeneza hapa licha ya kuwa na malighafi tele ya kutuwezesha kutengeneza vitu kama ivo yani kwa ufupi hivi vitu vya kuhitaji teknolojia rahisi kama ivo vijiti, masinki ya kunawia mikono na choo vyote vinatoka hukohuko, tailizi hizi au wengine wanaziita marumaru zinazalishwa na haohao wa Asia.
Hapa hatujazungumzia haya mambo ya kuhitaji tekinolojia ndefu maana huko ni ndoto kabisa kuweza kuyafikia.
Sasa hizi hatua tunazozipiga au sisi tunapiga kwenda kinyumenyume?
izo wanatengeneza haohao Asians/Chinese, wamehamishia tu viwanda vyao apatu
tiles zinatengenezwa hapa hapa bongo_japo zinazotoka nje pia zipo
daah tbc tena?
Fix tuHapo kwenye mabano
Tuthpick ❌ toothpick ✅
Kudanganyana bongo ndio mtindo wa kileo,endelea kuamini kadiri ya walivyofanikiwa kukupa imani.Hadi sasa hivi vijiti vya kuchokonolea meno (toothpik) vinatoka China na maeneo mengine ya huko Asia, sisi hatujaweza kuvitengeneza hapa licha ya kuwa na malighafi tele ya kutuwezesha kutengeneza vitu kama ivo yani kwa ufupi hivi vitu vya kuhitaji teknolojia rahisi kama ivo vijiti, masinki ya kunawia mikono na choo vyote vinatoka hukohuko, tailizi hizi au wengine wanaziita marumaru zinazalishwa na haohao wa Asia.
Hapa hatujazungumzia haya mambo ya kuhitaji tekinolojia ndefu maana huko ni ndoto kabisa kuweza kuyafikia.
Sasa hizi hatua tunazozipiga au sisi tunapiga kwenda kinyumenyume?
Sbida yako kuona kiwanda au TBC.daah tbc tena?
hata kamaSbida yako kuona kiwanda au TBC