Salam nduguzangu, kama mmeshuhudia kilichotokea pale Chamazi leo hivi kwanini isingetumika busara kusogeza mbele mchezo?
Lakini TFF wakaruhusu mechi ichezwe watu wametoka mbali kuja kuangalia dakika zile kweli?
Japo nimemsikia msemaji wa bodi ya ligi anasema sheria zinaruhusu! hiviingekuwa ni vilabu vyetu hivi vikubwa mechi ingechezwa?