Hapo ndugu yangu si bure hebu waone madaktari bingwa wa magonjwa ya kuambukiza kisha wakupime uwe na uhakika umepimwa lakin hii ya kununua dawa maduka ya vichochoroni wanakua wanauza kwa maelezo sio vipimo
hilo tatizo alikuwa nalo mtoto wa jirani yangu hospt walisema ni u.t.i. akandikiwa dozi ya sindano but Mpaka dozi inaisha hakuna nafuu tukampeleka amana m/nyamala kote wakadai hana ugonjwa. ugonjwa ukazidi na kila baada ya sekunde 30 anakojoa tena kwa kulia sana n'a mkojo ni wa damu. suluhisho walifanya maombi ikaisha.
maumivu makali jamani sehemu za siri, hasa wakati wa kukojoa, na vimkojo vinatoka kiduchu na vya mara kwa mara, nilienda hosptl nikapewa flagyl na doxcycilin, ni siku ya nne sasa natumia dozi, cha ajabu maumiv yanazidi kama vile kuna vidonda. je, hii ni u.t.i tu au kuna mengine? msaada wapendwa. kama kuna dawa nawezatumia kuniondolea maumivu. samahan nimesahau mpaka salam, ila natumai wote mu wazima.

Mkuu kapime vizuri huo mkojo pima na damu fanya culture ya mkojo utakuta una gonjwa la zinaa unakomaa na U.T.I fanya hivi kabla ujachelewa maana madaktari wa siku hz ni wavivu kumchunguza mgonjwa...